MA sociology

Mungu Mweusi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
1,474
1,079
Specialization ipi hapa inaweza kuwa na tija nzuri huko mbele kwa kuangalia mabadiliko katika jamii.
1.Medical sociology
2.Rural sociology
3.Environmental sociology
4.Industrial sociology

Kama hujui lolote kwenye hii tasnia pita bila kukoment;
 
Sasa wewe mweh !!
What exactly are you asking, and who is your target audience ?
 
Nikusaidie tu kijana! Huku uraiani hawajui chochote kuhusu hizo specialisation! Zaidi sana cheti chako cha degree kitaandikwa tu MA sociology! Ila kama chuo unachosoma wanaspecify naweza kukushauri kuwa angalia degree yako ulisomea nini! Kama ulisoma sociology hiyohiyo angalia eneo gani unalimudu zaidi maana hizi special ization zinaanzia first degree! Ni vzr kumaster vzr eneo moja ukabobea kuliko kurukaruka! Kuhusu soko la ajira hilo ni uwezo wako wewee tu itategemea unaweza kufanya nini, unacapabilities zipi, na unajiuzaje sokoni! Sio issue ya kusema Nina masters!!!! It doesn't work like that! At masters level waajiri wangependa kujua what do you bring on the table!
 
Sociology nimeichukia jamani imenifanya sijapata kazi mpaka sasa najuuta kwanini sikusoma ualimu...mpeni ushauri mnaojua
Mnaongelea degree au ... maana sio lazima upate kazi ya saikologisti lkn elimu hiyo na electives nyingine plus za kuzaliwa unaweza kupata kazi sehemu mbalimbali. Ni field nzuri ambayo una- cut across many fields, iwe mashuleni, hospitalini, mashirika na taasisi za kitaifa na kimataifa, hasa ktk community development, outreach, aka extension workers nk

I hope kazi hamtafuti jf tuu..

Strategy ni ku apply kila sehemu mbalimbali na kwa kubadili badili CV yako kutegemeana na masomo na field ulizofanya. Ukishaitwa tu ktk interview hapo ndo unawashushia nondos..

Gea nzuri ambayo kwingine duniani inasaidia ni kwenda na kuomba kujitolea hata kama ni few hrs per week, huo mtego utakuta wenyewe wanaona aibu then wanakupa kazi..

Hata kama ni ktk shule za chekechea...!!

Unasema ualimu ??? Upo nchi gani wewe husikii wanavyolia...??
 
Marafiki zangu wa sociology 89% ninaowajua wana kazi nzuri sana tena sana
 
Specialization ipi hapa inaweza kuwa na tija nzuri huko mbele kwa kuangalia mabadiliko katika jamii.
1.Medical sociology
2.Rural sociology
3.Environmental sociology
4.Industrial sociology

Kama hujui lolote kwenye hii tasnia pita bila kukoment;
Kila kimoja kina tija kwa nafasi yake soma vyote ikiwezekana tafuta GPA kali itakua tija bora kwa wanao baadaye
 
Mnaongelea degree au ... maana sio lazima upate kazi ya saikologisti lkn elimu hiyo na electives nyingine plus za kuzaliwa unaweza kupata kazi sehemu mbalimbali. Ni field nzuri ambayo una- cut across many fields, iwe mashuleni, hospitalini, mashirika na taasisi za kitaifa na kimataifa, hasa ktk community development, outreach, aka extension workers nk

I hope kazi hamtafuti jf tuu..

Strategy ni ku apply kila sehemu mbalimbali na kwa kubadili badili CV yako kutegemeana na masomo na field ulizofanya. Ukishaitwa tu ktk interview hapo ndo unawashushia nondos..

Gea nzuri ambayo kwingine duniani inasaidia ni kwenda na kuomba kujitolea hata kama ni few hrs per week, huo mtego utakuta wenyewe wanaona aibu then wanakupa kazi..

Hata kama ni ktk shule za chekechea...!!

Unasema ualimu ??? Upo nchi gani wewe husikii wanavyolia...??
Umempa ushauri wa maana sana, tafuta kazi ya kujitolea kwenye NGOs tena bila malipo. Ukiwa hapo utapata channel tu. Kuna field work nyingi tu. Maisha ni kupambana. Siyo kukaa na kujuta!

Cc happy123
 
Sociology nimeichukia jamani imenifanya sijapata kazi mpaka sasa najuuta kwanini sikusoma ualimu...mpeni ushauri mnaojua
Usikate tamaa ndugu yangu, mimi nimesoma Sociology Ud lakini sasa ni Adviser wa International organization moja hivi
 
Back
Top Bottom