Nikasomee masters ipi?

Nikasomee masters ipi?

dean of student

Senior Member
Joined
Jun 29, 2015
Posts
116
Reaction score
47
nilikuwa naomba kuuliza je kwa upande wa education ni masters ipi ambayo ipo sokoni kwa sasa ambayo nikisomea naweza kuwa ni mtu mwingine. na pia kuna masters za masomo na za uongozii je ipi ni nzuri kusoma?

Mimi ni mwalimu wa sekondari nina degree ya education ya masomo ya hist na kisw nilipata GPA ya 3.4 na kwa sasa Nina uzoefu wa kufundisha kwa muda wa miaka 3.

Mwaka huu nimepata nafasi ya kwenda kusoma ngazi ya masters ila kiukweli sina uzoefu wowote na wala sijui ni masters ipi ya education ambayo nikisomea itakuwa na tija katika maisha yangu ivyo kwa anaye jua anipe ushauli Ili nisije nipoteza muelekeo.
 
nilikuwa naomba kuuliza je kwa upande wa education ni masters ipi ambayo ipo sokoni kwa sasa ambayo nikisomea naweza kuwa ni mtu mwingine. na pia kuna masters za masomo na za uongozii je ipi ni nzuri kusoma?
Unataka kuwa mtu mwingine kivipi?

Uwe mrefu badala ya mfupi?
Uwe mweusi badala ya mweupe?
Uwe Wa kiume badala ya kuwa wa kike? Uwe mnene badala ya kuwa mwembamba?
( au kinyume cha hivyo hapo juu?)

Watu wengine sijui mnataka muwe shetani [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Unataka kuwa mtu mwingine kivipi?

Uwe mrefu badala ya mfupi?
Uwe mweusi badala ya mweupe?
Uwe Wa kiume badala ya kuwa wa kike? Uwe mnene badala ya kuwa mwembamba?
( au kinyume cha hivyo hapo juu?)

Watu wengine sijui mnataka muwe shetani [emoji13] [emoji13] [emoji13]
mkuu nataka kuwa mtu mwingine nikiwa na maana kuwa labda nitaacha kazi ya kushika chaki na kuwa kitengo kingine katika masuala ya elimu
 
mkuu nataka kuwa mtu mwingine nikiwa na maana kuwa labda nitaacha kazi ya kushika chaki na kuwa kitengo kingine katika masuala ya elimu
Kila la kheri mkuu! Chukua ushauri Wa lewandoski...ila ukiwa mtu mwingine uwe na roho ya utu tuu...

Tukija ofisini kwako utuhudumia bila kuleta jeuri na figisu figisu...
 
Na ili maswali yasiwe mengi ngoja nijieleze kidogo. kuwa mimi ni mwalimu wa sekondari nina degree ya education ya masomo ya hist na kisw nilipata GPA ya 3.4 na kwa sasa Nina uzoefu wa kufundisha kwa muda wa miaka 3. ivyo mwaka huu nimepata nafasi ya kwenda kusoma ngazi ya masters ila kiukweli sina uzoefu wowote na wala sijui ni masters ipi ya education ambayo nikisomea itakuwa na tija katika maisha yangu ivyo kwa anaye jua anipe ushauli Ili nisije nipoteza muelekeo.
Soma huko huko kwenye education ili baadaye uje kuwa Dean of Students... Imekuaje ukatumia hiyo user name? Naipendaga sana hiyo kazi...
 
peter iyo master wanaanza kuisoma mwezi wa tatu au tiali imesha anza? Mimi kwa sasa nipo morogoro wilaya malinyi
 
alafu peter hivi iyo masters nikisomea naweza kufanya kazi gani? na pia je naweza kuachana na kushika chaki
 
namba yangu ya simu ni 0719221365 kama una laini ya tigo ni beep tuongee vizuri
 
Hata mimi naomba kuuliza Masters(MSc) nzuri ya public health inapatikana chuo gani hapa tanzania.
 
1.Masters of education in education planning and administration.

2. Masters of education in education assessment and evaluation

3.Masters of art in educatio n menagement and planning na ya mwisho ni Masters of education in curriculum and instruction.

Je kwa ujuavyo wewe nikasomee ipi ili nipate promotion mapema au kama kuna nyingine ongeza. Asante
 
why? unaenda kusoma!!? kama unategemea promotion eti tu umesoma masters sahau!!!
soma kwa sababu za msing zaid otherwise utarud toka kusoma na stress nyingi. na no promition
Kabisaa, bora uwe mjasiliamali tuu, maana M.A leo sidhani inaenda chini ya Ml 10 , sasa JIPANGE kama unazo zote hizo na nia yako ni promosheni si bora ukawe mjasiliamali huku una endelea na kazi yako
 
Ni aibu kwa msomi unayejiita Dean of Students hujui hata ukasome masters ipi itayokufaidisha wewe mwenyewe na tamaa za tumbo lako.. Hii ndiyo ile inaitwa Rat Race, ukishamaliza hiyo masters na unafuu wa maisha hujauona utarudi kusoma PhD.. Ukimaliza na hiyo PhD mambo yakiwa mabaya utaanza kulia lia kama yule Mkuu wa Mkoa aliyetoswa.. Ni aibu sana
 
Back
Top Bottom