waziri chengula
Member
- Sep 15, 2015
- 56
- 31
Habari wana JF
Ni matumaini yangu mu wazima wa afya.
Naombeni mawazo au ushauri kwa wale wenye uzoefu na mambo ya tasnia ya filamu.
Nimekuwa nikipenda sana uandishi wa stori mbalimbali lakini hivi karibuni nimependa sana kuwa mwandishi au mtungaji wa stori katika filamu pamoja na uandaaji wa script za filamu kwani nadhani nitaweza kutokana na mapenzi yangu katika tasnia hii na nipo tayari kukabiliana na changamoto zozote zitakazojitokeza. naomba mnijuze yafuatayo:
1:Ni mbinu gani bora na rahisi ya kujifunza na kuweza kufanisha lengo langu?
2:Je kwa hapa Tanzania kuna chuo/course ya uandishi wa haya mambo? kama kipo/ipo,je ni wap?
3:je ni jinsi gani naweza kuingia kwenye soko la tasnia hii na kujulikana?
4:endapo nikafanikisha kuimudu vizuri hii tasnia,je nitawezaje kupata network itakayoniwzesha kufikia malengo?
Nitashukuru sana endapo nitapata mtu aliyefanikiwa kwenye tasnia hii ili kujua mengi zaidi kwani nina lengo la kukuza tansia hii hapa kwetu.asanteni na karibuni kwa mawazo yenu