Kwa kuwaokoa watoto wa masikini ambao tulidhani mkopo wa elimu ya juu ni mkombozi kwa kupata mkopo sasa ni kilio kila kina baada ya mwaamko wa kurejesha mkopo kuwa mchungu kama siyo jipu uchungu.
Retention fee na penalty ni piga kwa Wanafunzi wote waliopata mkopo HESLB ambaye inatozwa 6% mara tu unapomaliza chuo ikijumuisha na penalty inakuwa sawa na ada ya miaka yote uliyosoma.
Ukichelewa inavuka kiasi cha ada yako.Mfano kama ulikopeshwa 10m baada ya miaka5 utalipa 20m +penalty.
Kumbukeni vijana hawana ajira wapo mtaani zaidi ya miaka5 toka wa malize Vyuo.
Ambao tumejiajiri huwezi muda hayo makato ya retention fee..ambaye ni riba iliyobadilishiwa lugha.
Serikali ilitangaza kuwa mkopo hauna riba ilikuwa changa la macho?
Tunaomba watoe tamko ili Wanafunzi wasiendelea kuchukua mkopo ili wasije juta hapo baadae maana Serikali haiwajali kwa kuwalimbikizia madeni yasiyo na tija.
Wazazi somesheni watoto wenu achaneni na hii mikopo ya heslb ni jipu kwa Wanafunzi.
Pia Serikali isitishe hili tozo maana PAYE ni kubwa mno kwa mtumishi.
Wanafunzi walipe ada tu maana ni watumishi wa Nchi yao hata kama wamejiajiri lakini wanatoa mchango wao wa kitaaluma katika sekta zote