Vipanga wa PROBABILITY pitieni huku

Deadbody

JF-Expert Member
May 30, 2015
4,274
6,592
JF hakishindikani kitu,niliwahi ona post moja inayoelezea kuhusu topics za math advance ambapo kulitokea wakali wengi wa probability walikuja kwa tambo kem kem.

leo nimeletewa problem moja ni solve hivyo nimeona ni vema niwashirikishe nyie vipanga wa enzi hizo tusaidiane hili tatizo.

tatizo lenyewe ni hili ....

qn.The game of crap is played as followss:
1.Roll two dice and add the numbers obtained
2.If the total is 7 or 11 you win.
3.If the total is 2,3 or 12 you loose.
4.If the total is any number(ie ,4,5,6,8,9 and 10) then this number is called "the point".
5.If you roll a 7 first you loose.
6.If you roll "the point" you win.

Compute the probability to win at this game.


swali hiloo wakuu kazi kwenu .
wakina Baba V, Watu8 na wengine wakina manyele njooooni huku.
 
Nanukuu tu nilichowahi kusoma sehemu fulani...

"... Oh dear maths, grow up and solve ur own problems."

Mwisho wa kunukuu.

Nitarudi baadaye kuona wana hisabati walivyo kokotoa.

D.
 
ujue aliyegundua math ilibidi apimwe akili

usishangae ma genius wengi wana matatizo ya akili
 
1) The probability of loosing (rolling a total of 2, 3, 12) = 4/36 i.e. [(1,1); (1,2); (2,1); and (6,6)]

2) The probability of loosing (rolling a 7 first) = 6/36 i.e. [(1,6); (2,5); (3,4); (4,3); (5,2); and (6,1)]

You win thereafter.
 
Back
Top Bottom