Kwa anayekijua chuo cha Patandi Teachers' College Arusha

sirmz ndola

JF-Expert Member
Dec 13, 2013
273
32
Samahani wadau,hivi hiki chuo kinachukua wanachuo waliosoma Diploma tu au hata Form Six fresh from school?

Msaada plz maana nina principle pass mbili za masomo ya arts na nataka kukiomba. Je naruhusiwa mimi nilietoka moja kwa moja form six???
 
Sijawaelewa vizuri maelezo yao mkuu maana hawajaweka bayana kuwa wanachukua diploma tu au wanachukua na form six mwenye kujua anisaidie plz
 
Back
Top Bottom