akili akili
JF-Expert Member
- May 5, 2014
- 1,732
- 1,095
Wakuu, naombeni msaada wa mawazo. Kuna mwalimu Primary, amehamia wilaya ya Kinondoni. Tatizo lililopo amepangiwa shule ya mbali mno kutoka nyumbani wakati kuna shule kama 3 maeneo ya karibu na kwake. Atafanyaje kuweza kubadilishiwa kituo?. Ofisi ya taaluma wilaya wamekataa kabisa.