Ibanda1
JF-Expert Member
- Jul 18, 2015
- 722
- 1,123
Wanajamvi tafadhali mwenye uelewa juu ya makampuni, mashirika na taasisi mbalimbali zinazokubali "Internship" hapa nina matokeo ya semester tano, nasomea shahada ya uhasibu, watu wamenishauri kuwa ni vyema kupeleka maombi mapema
Hivo naomba mwenye ujuzi juu ya hili anisaidie.
Hivo naomba mwenye ujuzi juu ya hili anisaidie.