Intelsat JF-Expert Member Feb 29, 2016 323 532 Apr 10, 2016 #1 Wakuu ni kweli kuwa private sponsored hawapewi hostel na chuo na je vipi kuhusu upangaji wa mageto karibu na chuo hichi gharama zikoje?
Wakuu ni kweli kuwa private sponsored hawapewi hostel na chuo na je vipi kuhusu upangaji wa mageto karibu na chuo hichi gharama zikoje?
Evans-Arsenal JF-Expert Member Jan 10, 2016 868 1,385 Apr 10, 2016 #2 Diploma sikuhizi wanakuwa sponsored na Nani!!
2hery JF-Expert Member May 27, 2011 4,700 4,623 Apr 10, 2016 #3 Arusha Technical Diploma ni chuo gani?.Hiki chuo ni cha mfukoni
Intelsat JF-Expert Member Feb 29, 2016 323 532 Apr 10, 2016 Thread starter #4 2hery said: Arusha Technical Diploma ni chuo gani?.Hiki chuo ni cha mfukoni Click to expand... Mkuu nilmaanisha Arusha Technical college, Diploma Candidates Cc Paw Moderator Invisible nirekebishieni heading hapo juu
2hery said: Arusha Technical Diploma ni chuo gani?.Hiki chuo ni cha mfukoni Click to expand... Mkuu nilmaanisha Arusha Technical college, Diploma Candidates Cc Paw Moderator Invisible nirekebishieni heading hapo juu
Intelsat JF-Expert Member Feb 29, 2016 323 532 Apr 10, 2016 Thread starter #5 Tanzania2016 said: Diploma sikuhizi wanakuwa sponsored na Nani!! Click to expand... Kuna madogo wale wa direct kutokea school na hawa wanaotokea nacte na katika bringing course
Tanzania2016 said: Diploma sikuhizi wanakuwa sponsored na Nani!! Click to expand... Kuna madogo wale wa direct kutokea school na hawa wanaotokea nacte na katika bringing course
Evans-Arsenal JF-Expert Member Jan 10, 2016 868 1,385 Apr 10, 2016 #6 Oky hao sawa wanapewa bt sio full kabsa kuna baadhi ya vtu wanapewapewa kidogo
Seneta Wa Mtwiz JF-Expert Member Sep 23, 2013 3,622 4,138 Apr 12, 2016 #7 Tanzania2016 said: Diploma sikuhizi wanakuwa <fontcolor="red">sponsored</font> na Nani!! Click to expand...
Tanzania2016 said: Diploma sikuhizi wanakuwa <fontcolor="red">sponsored</font> na Nani!! Click to expand...