Msaada NACTE

sirmz ndola

JF-Expert Member
Dec 13, 2013
273
32
Nimechagua vyuo vitatu kwa kozi za afya kwa kutumia cheti cha form four na ninataka kuomba higher diploma of education kwa kutumia cheti cha form six je???inawezekana?? pia nataka kuomba kozi moja tu ya education na chuo kimoja tu.

Je naruhusiwa au lazima uombe vitatu??? Na inawezekana nikaomba na laboratory technology kwa vyuo vya ualimu, kwenye hiyo application moja nitakutumia cheti cha form six kuomba higher diploma na O-Level kuomba laboratory technology ??? kwa kulipia hiyo hiyo elfu ishirini
 
Inawezekana kabisa nenda kwenye profile yako na kuna button ya add professional area then utaletewa hizo programmes zako.
 
Inawezekana! Nenda Kwenye Futa Machaguo! Hapo Utaanza Na Upya Utaletewa kozi Zote! Afya! Elimu! Engineering Na Education!!! Hapo Utaweka Koz Zip Ungependa Ziwe First Priority Na Second Na Third! Uta Mark Utabonyeza Continue With Application! Kila Faculty Utachagua Kozi 3!
 
Asante mkuu naomba namba ya simu unilekeze mh samahani lakini kama una no ya tigo ingekuwa vizuri zaidi
 
mbona mimi nimejaribu kuingiza password na username hazifunguki? msaada tafadhali wadau....
 
sasa wadau mdona naona kuna deadline mbili kwenye kada ya afya? maana kuna ile orodha ya vyuo vitakavyo chukua wanafunzi wa afya inasema deadline ni 30/03/2016 but kuna sehemu ingine wameorodhesha deadline za course zote na imeoneshwa afya ni 31/05/2016. naomba mwenye update anisaidie wakuu yani nko online nataka kuaply but napata kigugumizi.
 
Ada ya maombi ni kama ifuatavyo;

1. Kwa eneo la Afya ada ya maombi ni Tshs 30,000/=.

2. Kwa eneo moja kati ya maeneo mengine yaliyobaki, ada ni Tshs 20,000/=

3. Kwa zaidi ya eneo moja la taaluma, mfano; Afya pamoja na Ualimu, ada ni Tshs 30,000/=, muombaji anaruhusiwa kuchagua maeneo yote.

4. Kwa waombaji wa Shahada za Elimu ya juu, ada ya maombi ni Tshs 50,000/=

MAOMBI YA NAFASI ZA MAFUNZO MWAKA WA MASOMO 2016/2017. - NACTE
 
sasa wadau mdona naona kuna deadline mbili kwenye kada ya afya? maana kuna ile orodha ya vyuo vitakavyo chukua wanafunzi wa afya inasema deadline ni 30/03/2016 but kuna sehemu ingine wameorodhesha deadline za course zote na imeoneshwa afya ni 31/05/2016. naomba mwenye update anisaidie wakuu yani nko online nataka kuaply but napata kigugumizi.

  • - Admission into Certificate/Diploma and Higher Diploma
    • Administration, Business, Law, Planning, Social Work, Tourism and related Programmes :- Deadline 30/06/2016
    • Agriculture, Livestock, Engineering, ICT and other related Sciences :- Deadline 31/05/2016
    • Health and Allied Sciences (Including Community Health, Health Records etc) :- Deadline 31/05/2016
    • Teacher Education :- Deadline 31/05/2016
  • - Admission into Bachelor Degree Programmes :- Deadline 31/05/2016
    http://41.93.31.136:8080/noas/
 
To finalize your application process, click “Confirm”. A message will appear indicating
that you have successfully submitted your program selection details. You will be notified
of your application results when selection process is completed.

waungwana hapo kwenye confirm sipaoni wakati nataka 'ku-finalize apliccation process'. nimeishia 'ku-save seection' tu
 
Back
Top Bottom