Hebu tumkwamue huyu dogo

IZAMA

Member
Dec 29, 2014
81
15
Ndugu wanajamvi habari zenu
Nina Mdogo wangu O level alimaliza 2010.
Kwa ufaulu ufuatao:
Chemistry............... B
Maths...................... C
Biology.................... C
History.................... C
Kiswahili................ C
English.................. C
Civics.................... C
Geography............ C
Physics................. D

DIV: two
Points: 20.
Year: 2010.
Anataka kusoma EGM.
Swali: Mwaka Huu 2016
anatamani kurudi shule
kupitia advansi Je,
atakubaliwa?
Mwaka 2010 alifaulu advansi name akachaguliwa kujiunga name Azania boys lakini alishindwa kuendelea kwa sababu zilizokuwa nje ya uwezo wake ikiwemo vifo vya waliokuwa wakimsomesha n.k.
Naomba wenye ujuzi wa mambo Haya tumsaidie Mdogo wetu.
 
Ukweli no kwamba hajasahau kwa sababu kwa vipindi kadhaa amekuwa akifundisha tuition za O- level. Kiufupi yupo vizuri.
 
Kuna vyuo vya ufundi,ualimu na vingine bado ana nafasi nzuri kuendelea mbele, asikate tamaa,maisha yanaendelea.
 
Lengo lake anatamani kupitia A level maana ndipo atapata nafasi ya kusomea vitu vingi kwa urahisi

Kupita advance sio kigezo cha kupata nafasi ya kusoma vitu vingi...kama lengo ni kusoma masomo ya finance, nashauri aanze kusoma cheti cha accounting then diploma ya accounting; kwa Bachelor atakuwa na wigo mpana wa kusoma masomo ya biashara
 
Mpeleke mtafutie mwalim wa Pure advance mathematic ,Economics--aanze na Econmc one, na Geograph aanze na Physical geograph ,mwache asome hata miezi 5 halafu mpeleke private school itamsaidia sana anweza fikia malengo yake
 
Kupita advance sio kigezo cha kupata nafasi ya kusoma vitu vingi...kama lengo ni kusoma masomo ya finance, nashauri aanze kusoma cheti cha accounting then diploma ya accounting; kwa Bachelor atakuwa na wigo mpana wa kusoma masomo ya biashara
Kwa uelewa wangu ukipitia advansi kila utakachokua unataka kusomea ni unaanza na digrii moja kwa moja.
Mfano ukisomea finance and ancountancy halafu kwa baadae ukataka soma psychology unaanza name digrii moja kwa Moja.
Lakini ukipitia diploma maana yake hata huko mbeleni ukitaka kusomea kit kingiine chochote lazima uanze na cheti Keisha diploma ndio unaanza kusomea digrii.
Ndio maana anataka kupitia advansi maana ana vitu vingine atasomea huko mbele. Akitaka tu anaanza na digrii
 
Unless ana watu wa kumsomesha kwa ss, ila kwa pass hizo aende kusomea ualimu pale UDOM, au aende kusomea vyuo vya afya! Hana muda wa kupoteza huyo umri ushaenda sana

Atapata stress akijikuta anasoma na vijana wadogo then shule itamshinda
 
Lengo lake asomee Finance and accountancy mkuu.
Namshauri akasomee masomo ya afya. Akimaliza anapata kazi. Aachane kabisa na mawazo ya kusoma account atopata kazi. Mimi nilisoma masomo ya biashara sasa ivi ayana dili sasa ivi masomo aya ya biashara. Labda kama anataka kuwa Dalali. Kazi ambayo inaitaji kuwa mtu wa kuongea sana na kama uwezo kuongea inakuwaje shida sana
 
mkuu ipeleke kule jukwaa la elimu watakusaidia sana wadau wa kule,kuna vichwa vilivopitia mengi sn kule...hili sio jukwaa sahihi kwa hii thread yko ndo mana hata michango imekuwa finyu.
 
Afanye namna akapige diploma ya building economics walahi hatojuta. Na hapo ataweza piga kazi na kujiajiri mwenyewe hatimae kuendelea na shule mbele ya safari.

Mi kwa kweli kwa dunia inapoelekea saa hivi A levels naona its a complete waste. Nashauri bora kijana uingie ma chuo mapema tu usomee kazi. Huko mbele utaongezea tu. Good thing dogo O level amejitahidi.
 
Back
Top Bottom