Jipu limeiva chuo cha institute of adult education

msomso

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
464
152
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee,Ndugu wana jukwaaa namasikitiko makubwa na chuo hiki kinavowatesa watoto wa masikini kwa kuwacheleweshea hela zao za maraz toka loan bord hata pia wakisaini pesa hizo hukaa mwezi mzima wakizisubiri.

Mfano ninajamaa angu pale institute of adult education mkopo wake ulienda mzumbe Tarehe 18 mwezi huu aliusaini mkopo wake cha kushangaza mpaka sasa haujaingia kwenye account yake nikamuuuliza tatizo ni nini kwa sababu namdai akanijibu hata Mimi sielewi kitu kipi kinawachelewesha akaniambia namuuliza loan officer anadai ipo kwenye process.

Ushauri kwa wizara ya elimu.Profesa wangu ninae kuheshimu Ndalichako kutatua muarobaini huu andaa walaka wakuwa mwanafunzi anaposaini mkopo wake chuoni akae walau ndani ya siku saba apate pesa yake ,Nahuo walaka chuo kitakacho vunja hizo taratibu hatua kali za kisheria zichukuliwe zidi yao.

Vile vile toa walaka na kwa bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu kuwa watoe mikopo kama ilivyo kawaida ndani ya wiki nane kwa vyuo vyote isiwe kuna wengine waishi kama msraika wengine madwetani mfano udsm wasaini wiki la 08 udom wiki la 20 kusiwepo na upendeleo.

Natanguliza shukrani zangu za zati kwako muheshimiwa waziri wa wizara husika
 
Hela ya bodi mwanafunzi anaposaini ujue IPO kinachotakiwa ni kuwekewa tu iwaje nyie IAE mpaka sasa mnamtesa jamaa angu analala njaaa kisa nyie mnazifanyia nini pesa zake Time will tell
 
Back
Top Bottom