Acturial science vs Accounting

kaxoghur7

Member
May 27, 2016
60
20
Wana Jamvi, ningependa kujua kama mwanafunzi aliyesoma ECA, au Diploma in Accouting (GPA 4.7)..kama ataweza kuingia Acturial science UDZM... Kama haiwezekana... Bcom in accounting UDZM.. Bsc A & F ARDHI na BAF.. Accounting ipi ni bora, kati ya hizo tatu...
 
oky ,udsm probalibility kweny actuarial ni ndogo, EGM ndio sana, pcm ...... lakini omba pia unaweza chukuliwa kama competition sio kubwa ,Bcom acc,baf unaweza tu ,
 
Inatakiwa uwe na principal pass ya Advanced Mathematics ingawa sijajua wanataka ufaulu wa kiwango gani.
 
Acturial sciance ni kwa watu wa pcm,pgm na egm au watu wenye diploma za statistics.na inachukua vipanga tupu.
 
Back
Top Bottom