Zipi ni Sifa za kusoma bachelor of journalism?

Zipi ni Sifa za kusoma bachelor of journalism?

salum kim

Member
Joined
Oct 14, 2015
Posts
22
Reaction score
3
Sifa zipi zinakidhi kusoma maswala ya habari ngazi ya shahada ukiwa muhitimu wa kidato cha sita? Na je? Unaweza kupata mkopo?
 
Journalism siyo priority kwenye kupata mkopo. Ila unaweza ukapata.
Kama umesoma combination za arts HGK,HGL na HKL uhakika wako wa kusoma journalism upo.
 
Back
Top Bottom