Shukran kwa Ushauri wakoAgriculture, kama umesomea mambo ya botanical science, chukua mkopo bank anzisha kilimo cha matunda na mbogamboga hasa nyanya, matango, pili pili hoho. Jenga green house, chimba kisima ili uwe na uhakika na maji. Hutakosa tender kwenye mahoteli, migahawa, na masokoni.