Wapi ntapata short courses za ufugaji wa nyuki,samaki,kilimo hususani kilimo cha kisasa

Dr.adams faida

JF-Expert Member
Mar 11, 2013
1,874
3,306
Bwana awe nanyi...

Baada yakuhustle Sana hapa mjini kwa kutumia elimu na professional niliyonayo nimedunduliza kiasi now am back home maana mjini pamekuwa pachungu...no money,sukari tunauziana kwa kujuana.
Baada ya kuajiriwa nilipanga miaka kadhaa ya kukaa kwenye ajira then nije nisimame mimi kama mimi,my plan nikurudi kijijini kwetu ,nilikonunua mashamba mengi lengo nikuwekeza kwenye kilimo na ufugaji maana huko ndo Kuna nafasi kubwa ya maeneo kwa ajili ya shughuli zangu.
By the way sina ujuzi wowote juu ya kilimo na ufugaji nahitaji nipge short course then niingie kijijini na idea ya vitu hivi naenda fanya.
Naombeni mnisaidie wapi nitapata vyuo vinavyotoa hizi short courses nazinachukua muda gani? VP juu ya Ada ?walisoma hizi course watupe idea na uzoefu wao...
Asanten
Nimeamua kushika jembe maana mjini hapa hali si shwari ....
kila kitu kodi mpaka mpaka naskia wanataka kuleta kodi za harusi"!
 
Back
Top Bottom