Msaada kuhusu mkopo wa elimu ya juu

AGAPE BOY

Senior Member
May 24, 2015
194
159
Naitwa Benjamin Samwel, ni mhitimu kidato cha sita 2016. Naomba kufahamu lini application za mkopo wa elimu ya juu zitaanza na mwisho ni lini.

Pia naomba msaada kuhusu namna ya kuapply, vitu vinavyohitajka kwenye mkopo huo.

MSAADA WENU TAFADHALI!
 
Tafuta cheti cha kuzaliwa.

Copy ya chet cha form four

Kama ulifiwa na mzazi ,au wazazi ambatanisha vyeti vya uthibitisho kama havipo anza kutafuta....

Mda Wa kujaza form bado haujaanza.

Tembelea website ya bodi.ya mkopo
 
Naitwa Benjamin Samwel ni mhtmu kdato cha sita 2016, naomba kufaham lin application za mkopo wa elimu ya juu zitaanza na mwisho ni lini, pia naomba msaada kuhusu namna ya kuapply, vtu vnavyohtajka kwenye mkopo huo.
MSAADA WENU TAFADHALI!
wewe unaulizia form wakati hata matokeo bado, ama kwakuwa mitihan ilivuja unauhakka utafaulu? subili matokeo ili ujue kama unaqualify ama lah......!
 
Sasa si unaeza ukakuta wataweka limit yani uapply kabla ya matokeo sasa hapo itabidi mtu uapply tuu bila kufikiria kufeli
 
wewe unaulizia form wakati hata matokeo bado, ama kwakuwa mitihan ilivuja unauhakka utafaulu? subili matokeo ili ujue kama unaqualify ama lah......!
Ninachokiuliza nafaham kilivyo miaka mingi sasa mkopo unaombwa kabla ya matokeo ukisubr matokeo yatoke uwe tayar kwenda chuo mwaka ujao!
KUWA MUELEWA!!
 
Naitwa Benjamin Samwel ni mhtmu kdato cha sita 2016, naomba kufaham lin application za mkopo wa elimu ya juu zitaanza na mwisho ni lini, pia naomba msaada kuhusu namna ya kuapply, vtu vnavyohtajka kwenye mkopo huo.
MSAADA WENU TAFADHALI!

Jenga urafiki na www.heslb.go.tz kwa lolote linalohusu mkopo na www.tcu.go.tz kwa lolote lile linalohusu kuomba chuo kwa wewe kidato cha sita.
Kila la heri jeshini na kwenye matokeo ya mitihani yako.
 
Back
Top Bottom