Nawezaje kuapply tena chuo kikuu?

Status
Not open for further replies.

newbegin

Senior Member
Jun 3, 2016
109
16
wanajamii naomba msaada wenu
mimi nimemaliza form four 2010 nikapata division 1 ya 17 nikaenda advance HGL nikapata division 2 ya 12,
ila nilivoenda chuo baada ya kufika waka wa pili nikafeli kulingana na sababu kadhaa.Naomba mwenye uelewa na hili kama ninaweza kuapply tena chuo kupitia TCU mwaka huu.
Nataka niombe tena maana naskia et loan board na TCU bado hawajafungua Application System zao.
Msaada please
 
nenda TCU watakupa maelekezo ya kuandika barua hili ufute jina lako kwenye system then uende na Bodi ya mikopo ufute jina lako kwenye system,ndio utaweza kuapply upya.
 
Ulipata mkopo? Kama jibu ni ndio,Fanya hima uulipe wote ndipo upate nafasi nyingine ya kuomba.
Kuhusu chuo,nenda jengo la TCU mkabala na Mlimani watakupa maelekezo ya kufanya
 
Ulipata mkopo? Kama jibu ni ndio,Fanya hima uulipe wote ndipo upate nafasi nyingine ya kuomba.
Kuhusu chuo,nenda jengo la TCU mkabala na Mlimani watakupa maelekezo ya kufanya
mkuu sikupata mkopo ila ntafuatilia
 
Ulipata mkopo? Kama jibu ni ndio,Fanya hima uulipe wote ndipo upate nafasi nyingine ya kuomba.
Kuhusu chuo,nenda jengo la TCU mkabala na Mlimani watakupa maelekezo ya kufanya
Hivi huwa wanarudisha nusu au yote, ndio ufunguliwe mkopo mwingine
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom