Kwanini masters za Mzumbe zimekuwa hivi?

Kwanini masters za Mzumbe zimekuwa hivi?

Mbnative

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
332
Reaction score
77
nina mpango wa kuongeza elimu ya juu,lkn katika kudodosa kwangu nimekutana na watu wakitia shaka masterz za Mzumbe,lkn hawakufunguka zaid..kunan pale wadau?
 
Wanaziita maharage ya mbeya,binafc sijui ni kwa nini wanaziita hivyo.subiri wadau waje.
 
kamuulize prof kuzilwa na waajiri kama TIA.CRDB.BOT .pia wewe una masters au diploma
 
haha jipange ukasome chuo kingine mzumbe vodafasta maharage ya mbeya
 
hawa ndo wale wanaotaka kushindanisha vyuo.. ww nenda kasome unapohis patakufaa otherwise hizo habari tupa kule..

I wonder
Huko maofisini kwnywe ht vyeti hawaangalii ni mwendo wa vimemo tu
Ww endelea kutafuta sifa ya vyuo
 
Yaan wangejua.hakunag mamb ya vyuo ofisini..alieuliza jua hilo lasivyo utajisumbua sana kupost ujinga
 
Yaan wangejua.hakunag mamb ya vyuo ofisini..alieuliza jua hilo lasivyo utajisumbua sana kupost ujinga

You are very right bro. Yaan mm huwa nashangaa sana watu wanapoleta mambo ya oh chuo chetu ndio kizuri zaidi.hivi hawa watu wanajua kweli kinachoendelea kwenye soko la ajira? Jamani siku hizi wanahitaji watu wanaojua vitu na sio chuo.
Km ingekuwa ni ubora wa chuo ndio unaangaliwa then maofisini wangejaa watu wa udsm coz ndio chuo kilichotangazwa kuwa ni bora east africa lakini leo ofisi nyingi nyeti hazijashikiliwa wa watu wa udsm.
 
Bro! Nadhani kwa elimu yako ya degree unaweza kufanya simple reserch juu ya k2 unachokwenda kusoma na chuo gn kitakidhi htj lako!.mzumbe kinaweza kuwa kizuri kwa baadh ya masomo fulani na dhaif kwa masomo husika kutokana na mazingira.kuhitimisha kwa kusema mzumbe c kizuri c vzr!
ila kwa msada zaid ungeweka wazi na unachokwenda kukisoma ingekuwa rahc kukushauri
 
Mkuu mastaz ya mzumbe achana nayo,kama unataka cheti kasome ila kama unataka taaluma na uelewa achana napo.
 
Mh Ludovik Otoh, CAG kasoma hapo!

Sijui kama utendaji wake una mashaka!
 
Pamoja na uhusiano usiofana kati ya utendaji na chuo aliposoma mtu kuna mashaka makubwa na masters za mzumbe.. Kuna Dr Mmoja anafundisha hapo ananiambia kwa kweli masters za mzumbe zinaharibiwa na walimu wenyewe.... walimu wa mzumbe hawana discipline....rushwa, ngono inatosha kukupa masters ya mzumbe...so sad.
 
Back
Top Bottom