Je tetesi hizi kuhusu walimu wenye diploma ni kweli?

Omkama

Senior Member
Feb 19, 2012
131
44
Kuna uvumi ambao sio rasmi naomba kwa mwenye chanzo cha taarifa atujuze wadau.

Nimepokea tetesi nyingi kuwa walimu wenye diploma ambao GPA iliyo chini ya 3.3 yaani inayoanzia 3.2, 3.1, 3.0, 2.9 hawatapewa ruksa ya kwenda kusoma. Pia kwa wale wenye GPA kuanzia 3.3 hawatapewa mkopo badala yake watapewa punguzo la ada 35%.

Je tetesi hizi zina ukweli? Na kama ni kweli naomba source ya hili tangazo
 
Back
Top Bottom