Tetesi: combination gan?

Apr 26, 2016
54
7
kunadogo hapa mtaani kapata 3point25 phy-d chem-c bio-c mathe-d na mengine dna cmoja somo la art saxa anauliza anaweza kuchaguliwa combi gan shule za serikal
 
Mwambie aende DIT au Arusha Tech. Akafanye application za Mature entrance itamfaa
 
kama wazazi wake wanapesa ndefu wanaweza wakampeleka private na anaweza akosoma comb yeyote anayoipenda
 
Back
Top Bottom