Msaada: Pesa ya kula vyuoni toka HESLB ni shilingi ngapi?

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
12,357
6,422
Wapendwa,

Naomba kujua hivi living allowance (hela ya kula) huwa ni kiasi gani huko vyuoni? Au generally HESLB ukiacha tuition wanatoa hela gani zaidi.
 
Wapendwa naomba kujua hivi living allowance (hela ya kula) huwa ni kiasi gani huko vyuoni? Au generally HSLB ukiacha tuition wanatoa hela gani zaidi.

Kua mpole, jitulize. Ukifika chuoni utajua. Ukiambiwa sasa hivi unaeza fanya matumizi kwa hela ambayo hujaipokea bado!
 
Please I am not a student, just to ascertain the sufficiency of the funds allocated for a possible support to my students!
 
Per day 7500 tshs
Per two month 450000 tshs
Meaning per semister 900,000 Tshs
Per year of std 200,000 for books and stationary
Meaning per year of studies it 2,000,000 Tshs
12500 Tshs paid in first years as for the days of orientation
Second year 620,000 Tshs as for 3month practical training or field
Research and data collection for the third year 100,000 tshs
 
Na wewe Kujifanya Unajua Kumbe Mavi matupu! wanafunzi wa UDOM mna matatizo per diem ni TZS. 8,500 Japo nilimaliza mda mrefu lakini nalijua hili.
 
Research and data collection for the third year 100,000tshs
mkuu iliongezwa sasa wanapewa 8500 kwa siku hivyo siyo 7500
 
Per day 7500 tshs
Per two month 450000 tshs
Meaning per semister 900,000 Tshs
Per year of std 200,000 for books and stationary
Meaning per year of studies it 2,000,000 Tshs

12500 Tshs paid in first years as for the days of orientation
Second year 620,000 Tshs as for 3month practical training or field
Research and data collection for the third year 100,000 tshs
Asante sana rafiki. Meaning semester ni miezi minne. Hapo penye red sijaelewa tafadhali hizo 2,000,000.
Ok does this also apply to MD students?
 
Na wewe Kujifanya Unajua Kumbe Mavi matupu! wanafunzi wa UDOM mna matatizo per diem ni TZS. 8,500 Japo nilimaliza mda mrefu lakini nalijua hili.
Matusi ya nini sasa? Why not use humane language! Nyie watoto!
 
Na wewe Kujifanya Unajua Kumbe Mavi matupu! wanafunzi wa UDOM mna matatizo per diem ni TZS. 8,500 Japo nilimaliza mda mrefu lakini nalijua hili.
Shukrani kwa kuniambia najifanya najua. Kwanza hii ni amount niliyokua napokea mim so ckuona tatizo kuiandika nilichokua nimekosea ni kuomba marekebisho kwa pale nitapokua nakosea.
 
Asante sana rafiki. Meaning semester ni miezi minne. Hapo penye red sijaelewa tafadhali hizo 2,000,000.
Ok does this also apply to MD students?
Naamin hawa wa MD huwa wana hela nying zaidi kutokana na mahitaji yao kama hela ya vifaa vyao vinavyotumika kwavile cna uelewa mpana wa hili ila naweza tolea mfano wao wana hela ya vifaa kama makoti yao yale na baadhi ya electronic devices wanazotumia kuna rafik yangu 1 wa KCMC ndio nilimuona na mnyambuliko wa vifaa hivyo bali ckushika vyote
 
Asante sana rafiki. Meaning semester ni miezi minne. Hapo penye red sijaelewa tafadhali hizo 2,000,000.
Ok does this also apply to MD students?
Laki mbili ni books and stationary + 1.8 mil ya kula per 2 semster ndio aggregate 2mil
Sasa kwa kua 8500 kama alivyosema bwana Allan itaongezeka sana
 
Back
Top Bottom