Naomba wanaJF mnijuze juu ya madaraja ya ualimu

Godbless .m.

Member
Dec 3, 2011
48
11
Mtu akiwa na degree analipwa sh ngap kwa sasa hivi? Na pia je ukienda kusoma degree mshahara haubadiliki.
 

Attachments

  • 1465115715327.jpg
    1465115715327.jpg
    94.6 KB · Views: 60
Diploma take home 250000-300000 na Degree take home ni 500000 na kuendelea kwa wale wanaoanza ila wale masenior mshahara unafika had 2 millions kwa nijuavyo mm
 
Degree basic ni 716000 na take home yaani baada ya makato yote ni 557000.

Me ni mwalim wa degree na ndicho nachopokea
Inakuaje kwa mwl aliyejiendeleza kupata degree na alikuwa na grade A baada ya kumaliza anapandishwa vipi!?!
 
Inategemea kama alifikia daraja la.D ambalo mtu wa degree huanzia maana yake atabadilishiwa muundo wa utumishi tu so atakaa miaka 3 afu wa 4 ndo atapanda kwenda E
 
Madaraja ya ualimu yapo mengi sana inchini. Inategemea unaelekea wapi. Kuna daraja la Kirumi, Daraja la Mkapa, Daraja la Kigamboni....na madaraja mengine chungu nzima inategemea na anakoelekea mwalimu. Ndo hayo tu
ImageUploadedByJamiiForums1465155905.244122.jpg
 
Madaraja ya ualimu yapo mengi sana inchini. Inategemea unaelekea wapi. Kuna daraja la Kirumi, Daraja la Mkapa, Daraja la Kigamboni....na madaraja mengine chungu nzima inategemea na anakoelekea mwalimu. Ndo hayo tuView attachment 353905
Yaani wewe ungekuwa ni wa kitengo KE wewe ungekuwa na wototo wa baba tofauti km nane hivi... Maana unavyodandia magari ya watu.
Unakuta wanaume tunajadili ya msingi unakuja kuzungusha kimini hapa....daraja wewe.
 
Yaani wewe ungekuwa ni wa kitengo KE wewe ungekuwa na wototo wa baba tofauti km nane hivi... Maana unavyodandia magari ya watu.
Unakuta wanaume tunajadili ya msingi unakuja kuzungusha kimini hapa....daraja wewe.

Mbona akili zako zimekaa kimaganba magamba? Tulia uchokonolewe dada
 
Back
Top Bottom