Msaada: Course ya Civil And Irrigation Engineering

migors

Member
Oct 1, 2015
46
53
Naomba msaada kwa anayeifahamu kozi ya Civil and Irrigation Engineering inayotolewa Arusha tech.

Je, ina utofauti gani na Civil Engineering na katika ajira ikoje?
 
Naomba msaada kwa anaye ifaham civil and irrigation inatolewa Arusha tech, inautofaut gan na civil Eng.
Na jatika ajira ipoje
Civil irrigation ni course iliyobase kwny umwagiliaji wakat civil eng imebase kwny structral,transport,water according na choice ya mtu mwaka wa tatu... Hyo ya arusha tech bado ipo currently na mkopo ni mia haina watu weng maana ni course mpya.... Kumbka private sector baadh zinaweza kumujir mwny civ irr kwny nafas ya structural bila shida
 
Back
Top Bottom