Top Medical School In Tanzania

Sijaona vyuo vinavyotoa diploma.. Au huo utafiti ulihusisha vyuo vinavyotoa kuanzia degree
 
Mmh!
Nina mashaka sana na huo utafiti uliotolewa kwenye hilo gazeti. Siwezi kuupinga japokuwa ninaweza kuukosoa kwa Asilimia 100. Kwa mfano.

1/Sina mashaka kabisa na MUHAS kuwa chuo bora zaidi cha Medical kwa kuzingatia tu Uzoefu, Idadi ya wahitimu wengi iliowahi kuwatoa mpaka sasa, Lakini Si kweli kabisa kuwa Elimu ya Afya inayotolewa pale MUHAS kwa sasa ina ubora unaotakiwa, na si Kweli kabisa kuwa wahitimu wa MUHAS ni bora katika kazi. MUHAS imebaki kama jina tu, lakini Ubora wa Elimu uko chini sana.

2/Kuna vyuo hapo vya Afya(Kama UDSM, nk) hazijawahi hata kutoa wahitimu toka vianzishwe, Vingine Vimefungiwa kimtindo(Kama IMTU nk), Vingine havina hata Course za Masters, Vingine havina PHd Courses, Vingine havijawahi kupublish utafiti wowote wa Maana duniani, yaani nivichanga sana. Lakini nimeshangaa vipo kwenye high rank hapo!.

Kwa Maoni Yangu binafsi(Kwa uchunguzi wangu wa kina sana), Vyuo pekee ambapo vinaongozwa kwa kufuata utoaji wa Elimu yenye Ubora katika Afya hapa Tanzania, ni kama ifuatavyo.

1/KCMC
(Hichi ndio chuo pekee kwa hapa Tanzania chenye Programme za mafunzo za Afya zenye kukidhi Mahitaji yote ya Kimataifa, Kitaifa naa kijamii kabisa kuanzia ngazi ya Diploma, Degree, Masters mpaka PHd. Ndio Chuo chenye Research center kubwa, bora sana, very useful. Ndio chuo pekee kwa Tanzania ambacho kuna Wanafunzi wengi sana kutoka Nchi nyingi za Afrika, Ulaya na Marekani. Kinatoa Programme nyingi sana ambazo ziko attached na vyuo mbalimbali hapa Tz (Kama MUHAS), Uingereza, Ujerumani, USA, Canada nk. Kina Uzoefu, Umakini na Upekee wake. Kiukweli kabisa Kinafundisha, na wanafunzi hawapo pale kujifunza wenyewe wenyewe tu ili kuhitimu.

2/BUGANDO.(CUHAS)
Kwa sasa ndio chuo kinachofuata mfumo uliopo samba samba sana na KCMC, Kwa sehemu kubwaa sana ya Uongozi na waalimu wake wa sasa wamehitimu KCMC au wamepatia Uzoefu wao wa kuongoza kutokea KCMC. Kwa miaka michache ijayo huenda kikawa ni chuo bora zaidi hapa Tanzania kwa sababu wamedhamiria kufanikisha hilo.

3/MUHAS.
Ndio chuo kinachofuatia kwa ubora. Haikupaswa iwe hivyo, ila kilibweteka na kudorora sana kwa sababu ya Uzamani, Kutenganishwa na Hospitali ya Muhimbili(Walimu na wataalamu wake wakapungua sana). Kimabakia na jina kubwa na uzoefu tu, lakini hakina kitu kipya tena. Kiukweli MUHAS hawafundishi ila wanafunzi wanajifunza zaidi wenyewe. Mwalimu kumkomoa mwanafunzi ili afeli ni kitu cha kawaida pale, ni utamaduni wa kawaida sana pale MUHAS.

4/KAIRUKI. (HKMU)
Hichi ndio chuo cha nne kwa ubora, kipo makini, lakini shida kubwa sana ni kuwa hakina Center kubwa ya kufanyia mazoezi, Uhaba wa walimu waa kutosha(Wengi wa walimu wao walikuwa ni kutoka Muhimbili wanaofanya Part time tu), Poor research center, na hakina Publication kubwa. Bado ni kichanga japokuwa kipo makini.

5/UDOM.
Hichi ni miongoni mwa chuo kichanga cha Afya hapa Tanzania. Katika rank nakipa nafasi ya Tano. Kina uwezo wa kufanya vizuri zaidi kama kikijipanga vizuri. Tatizo kubwa sana ni SIASA. Kinaendeshwa kiubabaishaji sana.

*Hayo ni maoni yangu tu, unaweza ukachunguza zaidi wewe mwenyewe na kuja hapa kutupa majibu utakayoyapata. Mimi nilichunguza hayo kipindi fulani(Chini ya taasisi fulani ya kimataifa ya Elimu).
 
Unaumwa minyoo wewe siyo mzima. Muhas chuo bora tanzania. Hata katika rank Za dunia muhimbili still inaongoza over hivyo ulivyovitaja. Lazima unashida
 
Nakubaliana na list yako! KCMC wanafanya NBME .. Home | National Board of Medical Examiners (NBME)

Dunia ya sasa mitihani hii ya kimataifa inaqapa wanafunzi wigo wa kujitanua zaidi... Chuo kina kuwa na uhusiano wa kimataifa,,

Pia research center yao ni kubwa sana..
 
[Barca="Barca, post: 16412990, member: 140285"]Unaumwa minyoo wewe siyo mzima. Muhas chuo bora tanzania. Hata katika rank Za dunia muhimbili still inaongoza over hivyo ulivyovitaja. Lazima unashida[/QUOTE]
Barca
Siko hapa kubishana na mtu na wala siko hapa kumfurahisha mtu yoyote yule. Nimetoa Facts ambazo unaweza kuzichunguza pia.
Ubora wa Elimu unaotolewa pale MUHAS kwa sasa haukidhi viwango vya sasa vya Kimataifa, Kitaifa na Kijamii. Huo ndio ukweli, Wanafunzi wengi pale MUHAS hawaandaliwi vyema, wengi wanajiandaa wenyewe.
Ninakiri kuwa ni Kweli MUHAS ina jina Kubwa na Uzoefu zaidi ya vyuo vyote hapa Tanzania vya Afya(Hii ni kwa sababu ndio chuo cha Kwanza na cha muda mrefu zaidi cha Afya hapa Tanzania), lakini Jina lake na Uzoefu wake haviendani kabisa kabisa na ubora wa Elimu. Kifupi kilibweteka, Kikadorora na sasa kimedumaa.

Something must be done to restore its royal. Please MUHAS wake up again.
 
Back
Top Bottom