Mishahara mipya.

stweka

JF-Expert Member
Jun 9, 2016
422
144
Wanabodi mwenye scale mpya za mishahara atuambie hasa idara ya elimu.
 
rejea bajeti ya 2015/2016 na 2016/2017 fungu la mishahara ni kama hakuna ongezeko.mwaka uliotangulia ilikuwa trilion 6 na mwaka huu nao ni trilion 6.suala la maana ni kuchapa kazi .tija ikiwepo mshahara utaongezwa tu.
 
Back
Top Bottom