Zipo ila msitu umefyekwa wote kwahiyo mambo ya mlimani hakuna tenaNauliza tu aisee hivi bado zile chocho za kuibukia Nyamatare zipo aiseee??
Vipi mitaa ya kibini pale bado kunafikika siku hizi, maana tulikuwa tunazamia sana mitaa ile na vidumu vyetu tunazuga tunatafuta maji ya kunywa, kumbe tunaenda kucheki "pilau"
Okay chifu ihuyoHahaha ckuiz chifu ndo habari ya mjini