ETI WADAU, nahitaji kujua manufaa ya comb za PCM na PCB kwa upande wa course chuoni.,yaan katika PCM kuna uwanja wa course zipi na katika PCB kuna course zipi naweza kuchukua baada ya kumaliza form 6,,, tukichukulia kwamba mtu amepiga vizuri comb husika (hajafeli)....na manufaa pia ya comb na course (if necessary).........thax