TAMISEMI kwanini mumlazimishe mtu kusoma mchepuo asioupenda?

muoga wa jf

Senior Member
Jun 27, 2016
198
219
TAMISEMI mnakuwa wa ajabu sana. Kiuhalisia mtu utasomaje mchepuo usioupenda na wakati sababu za watu kuhama zipo kabisa.

Kwanini mwaka huu TAMISEMI mtoe tamko la nafasi za kuhama hazipo shule na hakuna kubadilisha mchepuo uliopangiwa awali?

TUTAZIJAZA PRIVATE SCHOOL NO WAY OUT
 
Advance value yake is a little bit to college.
Nadhan the alternative is college insteady of those extendend secondary schools.
Try to imagine your career start to develop it from very grass root, verly verly i say onto you you will never regreate
 
True mkuu it's better collage than advance huku kupotezeana time tu
 
Ndio hivyo kk dogo langu mwenye kapelekwa HGK yaani DCB wakati PCM ana CBB yaani CCM mbele kwa mbele
Mpeleke chuo cha certificate ya chuo cha afya atakutana na walioenda advance mbele kwa mbele. Si vizuri kumlazimisha asome asichokipenda.
 
Acha kupotosha watu mkuu.. Tangazo la TAMISEMI Linaonesha ofisi zao ndizo hazibadilishi.. Ila mwanafunzi anatakiwa akaripoti shule aliyopangiwa Kisha afanye utaratibu wa kuhama kutoka shule/combination kwenda nyingine.
ce50da7860511f5e93b9d013b33884a8.jpg

Ukizoom hii picha utasoma Tangazo lao vizuri
 
Pow kk sasa hiyo second selection mfano div III 25 HKL DCC atapata kweli?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom