Msaada wa kujifunza exel

simango

Member
Oct 20, 2014
94
34
:)habari zenu waheshimiwa, naombeni msaada jamani, nahitaji nijifunze exel online

nafanyaje waungwana
 

Attachments

  • Sight_2016_02_11_160102_347 1.jpg
    Sight_2016_02_11_160102_347 1.jpg
    208.7 KB · Views: 40
:)habari zenu waheshimiwa, naombeni msaada jamani, nahitaji nijifunze exel online

nafanyaje waungwana
Kama una program ya excel kwa kompyuta yako unaweza kupakua excel tutorials then ukajifunza mwenyewe step by step!
 
Njoo qbscl training college

0654004377

Usome full excell...itakusaidia.

Lakini piaa wanatoa kozi kama za Certificate in accounting and finance,procurement,Business adminstration,Tally accounting package,quickbooks, full computer application visit https:www.facebook.com/qbsltd
 
Back
Top Bottom