Serikali mtulipe pesa zetu za kusimamia mitihani kidato cha nne 2015

Zooluline

JF-Expert Member
Oct 15, 2012
206
102
Nasikitika sana kwa hii serikali ya JPM kutolivalia njuga hili swala la sisi wasimamizi wa mitihani ya necta kidato cha nne 2015.
Tumeifanya kazi kwa moyo mkunjufu na kwa uaminifu lakini mnatuona mazwazwa,..

Next time tutajilipa kwa njia zetu wenyewe, mungu ibariki serikali hii kwa huu udhalimu..
 
Serikali hii dhulumati, walimu wanadai bilioni 19 lakini wanazungushwa miaka nenda mika rudi hadi wengine wamefariki, lakini ikija kwenye kulipana pesa wenyewe Mawaziri, Wakuu wa mikoa/wilaya, Makatibu na manaibu Wakuu wanalipana haraka sana.
 
Kiukweli hili swala la malipo ya mitihani binafsi limenisikitisha mno.

Navyofahamu NECTA hua wako very smart ktk mambo yao ila hili limewashushia P, watulipe pesa zetu haraka
 
Next time tutajilipa kwa njia zetu wenyewe, mungu ibariki serikali hii kwa huu udhalimu..[/QUOTE]

sawa fanyeni
 
Sasa we unadai pesa ya usimamizi,wakati wahtimu wa ualimu wanaanya kitaa tu,zen kuna tetesi hadi miaka mitatu ipite ndo ajirA ,tupeni pole jaman mbona mwaka wa majanga bora ya jk kuliko......
 
Du! Na huku kwetu mpaka leo hatujalipwa jamani....
Prf. Ndalichako naomba uwafuatilie maana kuna wajanja wachache watakuwa wamekula pesa yetu.......naamini balaza hawawezi kutuzulumu!
 
Back
Top Bottom