Tuliopangwa Pugu boys tukutane hapa

mzee wa fix

Member
Jun 27, 2016
17
11
Watu waliopangiwa Pugu au kusoma Pugu high School, A-level tuonane hapa.

NB: Naomba mnitumie picha za Pugu boys mtoto wangu kapangiwa hapo
 
Watu walopangiwa pugu au kusoma pugu high xcul A lever tuonane hapa naomba mnitumie pic za pugu boys mtoto wang kapangiwa hapo
Kama kapangiwa PUGU hana 7bu hata ya kujilaumu ni shule kongwe miongoni mwa shule tatu Kongwe Tanzania....kiufupi Pugu ni shule ya tatu kujengwa Tanganyika
PUGU-Means People Usually going University
Nilikua apo miaka ya 2009-2011 na sikujuta kwann nilisoma Pugu saiz ni mmoja kat ya watu ambao najivunia kusoma Pugu hususani kwa Combination ya EGM........uzuri wa PUGU unaweza kukaa had mwez ujaoga maji
 
Back
Top Bottom