Tinde girls school

Makele mbele

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
280
132
Wana jamvi naombeni mwenye kuijua hii shule mazingira yake na maendeleo yake anijuze tafadhari. Dogo wangu kapelekwa hapo PCB ila kunamtu kanambia hiyo comb haipo pale. Mwenye kuifahamu anisaidie
 
kombi mpya pale hii shule ipo kijijini mazingira magumu kwa pcb pole zake
Mkuu unasema ipo kijijini mazingira yake magumu nifafanulie kidogo basi ili nijue nichukue uamuzi gani mapema. Kijijini magari hayafiki, hakuna maji, shule yenyewe mazingira yake yakoje nk.
 
Mazingira ni magumu sana na ni shule changa sana, kama una uwezo kidogo usimpeleke ni kumpoteza tu bure!!

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
offcourse hii shule ni ya kata accumulation ya material kwa pcb ni ngumu sana ipo maeneo ya tinde karibu na mzani wa njia panda ya kwenda kahama
 
hyo comb. ipo na pia usafiri ni uhakika masaa 24 kwani shule hyo iko njia kuu na njia panda ya kutoka DSM to MWANZA na DSM Rwanda na Burundi via kahama. kuhusu mazingira shule inauzio na mabweni ya kutosha pia maji na nyongeza iko karibu na manispaa ya shy na mji WA kibiashara kahama. ushauri mpeleke mwanao akapate elimu bora achana na ushauri WA kitoto WA elimu za mwendokasi
 
Kwann usiseme nzega... Mwanza?

Brainwashed
 
hiyo shule ya kata kwa hiyo combination atasumbuka i tell u
Thanx mkuu kwakunipa hali halisi maana kuliko aende akapoteze muda miaka2 nibora kufanya utaratibu mbadala. Hizi comb naona wanapanga tu bora liende ila mipango thabiti yakuwawezesha vijana kutimiza ndoto zao hakuna.
 
angechaguliwa maswa girls high school hapo angeenda kwa shule kongwe pia material yapo yq kutosha sasa hiyo tinde shule changa msuli wa pcb siyo kama wa hkl mkuu pcb kula zero kugusa tu haijalishi form four umescore ngapi
 
Mazingira ni magumu sana na ni shule changa sana, kama una uwezo kidogo usimpeleke ni kumpoteza tu bure!!

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Kuna shule 49 za kata zimekuwa na A level. Hopeless, tena eti PCB! Achana na wanasiasa please watoto wao hawatawapeleka Tinde
 
Wana jamvi naombeni mwenye kuijua hii shule mazingira yake na maendeleo yake anijuze tafadhari. Dogo wangu kapelekwa hapo PCB ila kunamtu kanambia hiyo comb haipo pale. Mwenye kuifahamu anisaidie
Kuna shule 49 za kata zimekuwa na A level. Hopeless, tena eti PCB! Achana na wanasiasa please watoto wao hawatawapeleka Tinde. Achana na Tinde utafeli kwa kiwango cha Fight For Food First Friend!...... PCB G/Studies and BAM
 
Dah! Mkuu it means hizi zakata wanasukumiza watoto wetu wakwao wanapeleka ilboru, weruweru nk eeh!! Hawa watu niwauaji kabisa yan
 
Kwanza kamalizia mkoa gani nianzie apo then ntakujibu kuusu tinde
 
Back
Top Bottom