HESLB yakanusha kuwa haina fedha

Bibi Mikopo

Senior Member
May 15, 2015
180
35
BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU

TAARIFA KWA UMMA

KUKANUSHA TAARIFA KWAMBA BODI HAINA FEDHA

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inapenda kukanusha taarifa za upotoshaji zinazoenezwa kwa sasa kwamba haina fedha.

Si kweli kwamba Bodihaina fedha, ila ni kweli kwamba kumekuwa na ucheleweshaji wa kufikisha fedha za wanafunzi vyuoni kutokana na zoezi la kuhakiki wanafunzi wanaonufaika na mikopo linaloendelea vyuoni hivi sasa.

Hata hivyo, maandalizi ya malipo hayo yameshafanyika na ‘pay sheets’ zimeshapelekwa vyuoni tayari kwa wanafunzi wanaonufaika na mikopo kusaini.

Bodi inatarajia wakati wowote wiki ijayo baada ya zoezi la uhakiki kukamilika; itapeleka fedha hizo vyuoni.

IMETOLEWA NA:

KITENGO CHA HABARI, ELIMU NA MAWASILIANO

2 JULAI 2016
 
Attachments

  • HESLB YAKANUSHA KUKOSA FEDHA.doc
    2.1 MB · Views: 39

Nilishasema asubuhi hapa kuwa jua halitakuchwa lazima waje kukanusha! I said I hahahahahaha
 
Hili tangazo mbona silioni kwenye website yao wewe uliyelibandika umelitoa wapi
 
Back
Top Bottom