Andrew Sosipeter
Senior Member
- May 29, 2016
- 189
- 33
Hei wana jf kama kichwa habari kilivyo leo nimetembelea blog flan www.https://jamii.app/JFUserGuide nikakuta nanukuu KAMA ULIFANYA APPLICATION ZA CERTIFICATE AND DIPLOMA CHUO KIKUU CHA USHIRIKA MOSHI MWAKA 2016 /2017 NIMEKUWEKEA MAJINA HAPO naomba kuuliza je kwani hao wanafunzi wamedahiliwa na nani na kama ni chuo kimewadahili kana haja gani ya kufanya APPLICATION kupitia nacte kwa nini kila mtu asifanye kupitia chuo anakitaka na kama ni nacte wamewadahili kwa nn vyuo vingine hawajatoa ufafanuzi tafadhari