Tyrex
JF-Expert Member
- Oct 15, 2012
- 2,357
- 5,025
Habari zenu wapendwa katika bwana.
Mimi nina maoni machache tu kuhusu Tanzania Commission for Universities(TCU). Nafikiri wanapaswa kuangalia tena mfumo mpya wa kujiunga na chuo.
Ile idadi ya point 4.0 walioweka watawaumiza wengi hasa watoto wa walalahoi. At least wangefanya hata iwe 3.0 ingekua ahueni kidogo japo watoto wapate nafasi ya kusoma na hata ukiangalia jinsi grades zilivyopanda sana kipindi hiki.