Vegetarian
JF-Expert Member
- Apr 7, 2012
- 654
- 509
Taarifa imesambazwa kwenye Halmashauri zote, Kwa Waratibu Elimu kata, Wakuu wa Shule za Sekondari na Walimu wakuu wa Shule za Msingi ikiwataarifu kuwa hakutakuwa tena na mchujo wa mtihani wa kati (Darasa la IV na Kidato cha Pili). Hii ina maana kuwa nwanafunzi akianza Darasa la kwanza anatakiwa asome hadi Kidato cha Nne bila kufanya mtihani wowote wa mchujo.
Mtazamo wangu:
Hatua hii itazidi kushusha ubora wa Elimu badala ya kuuboresha, kuondoa mchujo badala ya kuboresha utoaji wa Elimu ni sawa na kutanua goli ili kurahisisha wafungaji butu kufunga magoli.
Mtazamo wangu:
Hatua hii itazidi kushusha ubora wa Elimu badala ya kuuboresha, kuondoa mchujo badala ya kuboresha utoaji wa Elimu ni sawa na kutanua goli ili kurahisisha wafungaji butu kufunga magoli.