Wapi alipo mtunzi wa Mfalme ****

zegamba180

JF-Expert Member
Oct 8, 2014
818
536
Samahani kwa usumbufu wa ndugu. Ndugu yenu nahitaji la kujua kuhusu mwandishi wa kitabu cha "Mfalme Juha" kama bado yupo hai? Na kama yupo hai huyo mzee anapatikana wapi?
Nataka kufanya nae mahojiano kuhusu utunzi uliotukuka hicho kitabu chake.
 
Back
Top Bottom