Je ni kweli watumishi wa umma hawaruhisiwi kusoma first degree?

diya

Member
Jun 22, 2016
20
2
1467446190806.jpg
 
Hapo ni Halmashauri ya huko Nsimbo, yawezekana ni utaratibu wao peke yao au kuna waraka walipokea kutoka Utumishi, tutayajua tu kwa undani. ila mmmmhhhhh ni hatari aiseee
 
Kichwa cha habari kimekaa kiupotoshaji.... First degree wanaruhusiwa kusoma kwa kuchukua likizo isiyokua na mshahara ni sheria iliyopo Tanzania nafurahia kuona inatekelezwa maana hawa inservice wanaendekeza sana bata vyuoni kumbe sababu ni mshahara wa bure unaingia..... safari hii mjipange.
 
Wewe unachuki binafsi wa Tanzania bhana cjui tuna nn ndo mana hatuendelei
 
Kichwa cha habari kimekaa kiupotoshaji.... First degree wanaruhusiwa kusoma kwa kuchukua likizo isiyokua na mshahara ni sheria iliyopo Tanzania nafurahia kuona inatekelezwa maana hawa inservice wanaendekeza sana bata vyuoni kumbe sababu ni mshahara wa bure unaingia..... safari hii mjipange.
Acha wivu wa kijinga,unakasirika coz wanakula bata wewe huli.
 
Namchukia sana mtu anayechukia mwenzake kufanikiwa...na nampenda mtu anayefurahia mafanikio ya mwenzake na yeye kufanya jitihada za makusudi kufikia mafanikio ya mwenzie!!!
 
Aisee,hali ni tete...asa mm ntasomaje bila mshahara jaman? Ada yenyewe ni almost 3 milions per year#
 
Kichwa cha habari kimekaa kiupotoshaji.... First degree wanaruhusiwa kusoma kwa kuchukua likizo isiyokua na mshahara ni sheria iliyopo Tanzania nafurahia kuona inatekelezwa maana hawa inservice wanaendekeza sana bata vyuoni kumbe sababu ni mshahara wa bure unaingia..... safari hii mjipange.
Sasa mtu akila bata kwa mshahara wake we unaumia nini
 
Nimeskia kwa hizo mambo ni kweli lakin wanadai kwamba wanastisha mshahara kutokana na vyuo wanavyotoa degree hutoa mikopo pia so wasarvive kwa mikopo duuh
 
Ayo ni mojawapo ya Majipu yanayosababisha tunakosa mikopo...I hate kuona watu wanarudi nyumbani kwa kukosa ada huku wengine wakirudi kusapua kwa kuponda bata semester nzima...hii sio Tanzania tunayoitaka bwana....Uzalendo kwanza Dada.
 
Kukosa kwako boom haihusiani na mshahara wa mtu ndugu, mshahara wake matumizi yake
 
Nimeskia kwa hizo mambo ni kweli lakin wanadai kwamba wanastisha mshahara kutokana na vyuo wanavyotoa degree hutoa mikopo pia so wasarvive kwa mikopo duuh
Umesikia ni nchi nzima au huko nsimbo tu, mbona hamna halmashauri nyingine iliyotoa tangazo la hivyo, mimi binafsi naweza nisiamini hii kitu
 
Back
Top Bottom