Haya hapa madaraja yaliyotumika kupanga matokeo ya kidato cha sita 2016

INFOT 23

Member
Jul 14, 2016
18
12
Kama kawaida yangu,ninakupa kitu roho yako inapenda,je ungependa kujua GRADE A,B,C,D,E,S,F ULIZOPATA NI SAWA NA MAKSI NGAPI HADI NGAPI?Basi angalia hapo chini kujua maksi zako;

Kama kawaida yangu,ninakupa kitu roho yako inapenda,je ungependa kujua GRADE A,B,C,D,E,S,F ULIZOPATA NI SAWA NA MAKSI NGAPI HADI NGAPI?Basi angalia hapo chini kujua maksi zako;

Ahsante mkuu. Je wapi naweza kupata madaraja yaliyotumika 2014-15? Kama kuna aliyo nayo tafadhali please kuna analysis nataka kufanya.
 
Back
Top Bottom