Ufaulu wa kidato cha sita 2016 kupungua je kutasaidia waliobahatika kuendelea chuo kupatiwa mikopo?

Princess qute

JF-Expert Member
Jul 16, 2016
621
552
kama inavojulikana kuwa bajeti ya mikopo ya elimu ya juu huwa inaandaliwa kwa kiwango flani na ufaulu wa wanafunzi umepungua wengi hawatoendelea degree je kuna uwezekano wa non priority course kupatiwa mikopo kwa wingi baada ya kumaliza priority course kumalizika au hali ya kukosa mikopo itakuwa kama miaka iliyopita hasa hasa na wa deploma wanaenda wenye GPA ya juu?
 
Back
Top Bottom