Damy Scotty
JF-Expert Member
- Dec 25, 2012
- 717
- 454
Habari za weekend wakuu..
Ufafanuzi unahitajika hapa, hivi hoja ya msing ya TCU ni angalau D mbili au angalau point 4.0? Au vyote? Tazama huo mfano
1) Mtu mwenye D D E anakua na points 5 (dvn 3 pnt 13) na anakua nasifa ya kwenda chuo kikuu (kwa mujibu wa rank za waliomaliza 2014 kurudi nyuma)
2) Same case mtu mwenye A E E anakua na points 7 dvn 2 pnt 11) lakin hana sifa ya kujiunga na chuo kikuu
Naomba kujua ipi hoja ya msingi kati ya D mbili au point 4.0?
Mana ukiangalia hapo juu huyo mtu mwenye A E E ana division 2 ya point 11 kafaulu zaid ya huyo wa kwanza ambae ana division 3 ya point 13
Lakini cha kushangaza mwenye sifa ya kwenda chuo kikuu ni huyo mwenye 3 ndo anastahili, hii iko sawa kweli?
I STAND TO BE CORRECTED