rasheedtuppa
New Member
- Jul 15, 2016
- 1
- 0
Jamani mimi ni mwanafunzi wa KCMC kozi ya Pharmacy. Naomba msaada wa kuweza kumaliza masomo yangu ya diploma mwaka ujao kwani nimekwama kiada. Aliyekuwa akinisomesha amefariki dunia.
Msaada tafadhali
Msaada tafadhali