Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Please please, jambo hili linanitatiza, hebu nipeni ufafanuzi. Nilirisiti masomo 7 mwaka 2015 na matokeo Bio-B, Phy-C, Chem-B, math-B, Geo-C, Kisw- C, Islam B. English sikufanya na hapo mwanzo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimelipia NACTE tokea tarehe 31/07/2016 hadi sasa hawajanitumia USERNAME na PASSWORD Nimewapigia namba zao Nyingi Hawapatikani na nyinginezo ni bize sikuzote hizi nne muda wote......Nifanyeje?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Dogo angu kasoma HGE sasa msaada please anayezijua kozi za degree zenye priority ya kuajiriwa na mkopo za hiyo kombi PLZ.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
NACTE yaamua kufuta uteuzi wa wanafunzi ambao waliokuwa tayari wameshachaguliwa kujiunga na vyuo ni wale wa second selection yaanza upya tena haiwahusu first selection Hii elimu yetu sijui...
5 Reactions
69 Replies
10K Views
Habari, Naomba nifikishe ujumbe huu kwa Mheshimiwa Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Mjaliwa na Waziri wa Elimu wa Tanzania Mh. Profesa Joyce Ndalichako, Chuo Kikuu Huria cha Tanzania ni jipu kubwa...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Naomba kujua zaid RPL ni nn wakubwa na je ni sawa na foundation ya zaman au kuna utofauti
0 Reactions
0 Replies
758 Views
diploma ya medicine ipogo tanzania?
1 Reactions
2 Replies
738 Views
Jamani embu nielezeni kipi kinafuata kwa sisi tuliomaliza fom six na tukafaulu na tusha apply vyuo. Nini kinafuata hapo mbele? Na ni kwa muda gani? Tusaidiane jamani!
0 Reactions
80 Replies
8K Views
Web ya TCU imeonyesha waziwazi kuwa application deadline kwa Form Six ni 31st August, 2016. Equivalents bado hakisomeki!
2 Reactions
14 Replies
2K Views
D inaanzia 50-59, E 41-49, hiyo D ni B mwaka jana na hiyo E ni C mwaka jana halafu mtu amesoma kombi complicated PCB, PCM au PGM at the end of the day hamna chuo tena taarifa inakuja baada ya...
6 Reactions
34 Replies
4K Views
Msaada jamani, tunaomba mwenyewe taarifa kamili za uhamisho wa watumishi wa umma June 2016, vibali vinatoka lini ndugu zangu? Msaada tafadhali
0 Reactions
7 Replies
8K Views
Hbr ndugu zangu wana_JF, Naomba kuifahamu hii kozi ya educational technology inahusiana na nini na ukisoma unaweza kuwa nani na kufanya kazi gani?, Kwa yeyote anayeifaham naomb jaman please...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wanajamvi naombeni msaada, Nipo nalipia NACTE kupitia M-pesa ila nikifika sehemu moja inaniambia niingize namba ya akaunti. Hapo mbona sielewi? Hiyo namba ya akaunt ni ipi? Msaada please...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Jaman kat ya mechanical na biomedical equipement engineering ip n kozi nzuriiiiiii wana jamv nisaidien
0 Reactions
64 Replies
9K Views
Habari! Wana jamvi, Kwa wale wanaotegemea kuomba shahada ya kwanza(degree) kutokea diploma kwa kozi mbalimbali hapo kesho dirisha linapo funguliwa kupitia TCU tukutane hapa wakuu kupeana taarifa...
4 Reactions
106 Replies
13K Views
Habari za muda huu wana jukwaa kuna kitu kinanitatiza kidogo katika application za NACTE especily upande wa education awali mfumo ulipo funguliwa kwa walioaply upande wa education ulikuwa ni...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Ilo ni bweni mojawapo la kidato cha tano hapo kibaha boys. Kwanza nipende kuwapa pongezi sana kwa kuchaguliwa special school.Cha msingi mkifika hapo shule ni kuanza kusoma kwa bidii(msuli) kwa...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Baada ya serikali kusogeza wiki 2 mbele za kuanza field, ratiba yangu inaonesha jumatatu tarehe 8/8/2016 natakiwa nianze field . Lakini maajabu mpaka sasa hivi nipo nyumbani, sijakata hata tiketi...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Ni imani yangu kuwa mko salama wakuu. Ni kwamba nina mdogo wangu anasoma masomo ya Chemostry, Biology na Agriculture (CBA) katika shule moja ya serikali. Nahitaji ahamie kwenye private school...
0 Reactions
0 Replies
731 Views
Nimsaidiaje huyu dada? Hakuchaguliwa mara ya kwanza ila sasa anataka abadilishe course ya kusomea. Hajui asome nini na alisoma Arts O-level matokeo 4 ya 28 halafu leo mwisho.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom