Kwa wale walioomba uhamisho wa July 2016

Shegynho

Senior Member
Jun 5, 2016
182
110
Msaada jamani, tunaomba mwenyewe taarifa kamili za uhamisho wa watumishi wa umma June 2016, vibali vinatoka lini ndugu zangu? Msaada tafadhali
 
Wakubwa kwa Anayefahamu uhamisho wa watumishi wa umma julai 2016 utatolewa lini atupe information.
Thanks
 
Hili nalo limekuwa tatizo, ndoa zinachechemea tamisemi oneni huruma duuuuh, hao watumishi hewa toka january mpaka Sasa!!!? Halafu hivi watumishi hewa na vyeti vinahusianaje? Jamani turuhusuni twende
 
Back
Top Bottom