Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Wakuu ningependa kufahamishwa kwa undani kuhusu hii kozi hususani; ◇vyuo vinavyotoa kwa hapa Tanzania. ◇hitaji lake katika soko la ajira. Pia kwa anaye soma kozi hii au aliyemaliza anipatie...
1 Reactions
14 Replies
7K Views
habari wanajamvi mm nimemalza f6 mwaka huu na mamshukuru Mungu nimepata div two ya 10 phy d chem c bios c bam s g.s e...nimeomba hv HUBERT KAIRUKI,ST.JOSEPH,CUHAS phamacy,ARCHBISHOP JMS,KCMC kwa...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
ni vyuo vp hpa tz,private au govnt ambavyo vinatoa bach.of pharmacy hpa tz ni vp?
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Msaada ndugu nataka nijue izo field vizuri tuzijadili kwa pamoja nipate mwanga asanten...zinapatikana ardhi university (ARU)
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Katika kupeleleza course mbali mbali zitolewazo na baadhi ya vyuo hapa nchini, nimeshindwa kujua au kupata contents au modules za degree kadha wa kadha kwa vyuo kadha wa kadha. Ningependa kujua...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Naomba msaada kujua je Ajila za ualimu mwaka huu zinaweza kutolew pamoja nikimaanish kwa wale wahitimu wa mwaka jana na wa mwaka huu wanaweza toa ajila kwa wote
0 Reactions
28 Replies
4K Views
jaman wana jf naomba kujua fee stcture,mazngra,academic status,admission criteria,ya chuo cha kairuki kwa upande wa m.d..
2 Reactions
28 Replies
5K Views
Come with questions about economics,accounts,and commerce.You will get clear answers and their application(s) in different life scopes not just for passing your final exams
1 Reactions
2 Replies
827 Views
kuna jamaa kanitonya hii kitu..... kuna tetesi za kutengezwa kwa Central Employment System kwa kifupi CES ambapo walimu na watumishi wa sector zingine za afya,maji etc watatakiwa kuomba kazi...
9 Reactions
31 Replies
4K Views
Mimi napata shida kuhusu NACTE, tulifanya maombi ya degree mapema kupitia NACTE kabla hata TCU lakini ilikuwa ukiingia kule kwenye systeam yao Vyuo ilikuwa ni kidogo walivyoeka hasa kuhusu course...
0 Reactions
1 Replies
979 Views
TCU hapo Mwanzo Walisema Kuwa Watafungua Milango Ya Kupokea Maombi Ya Wale Diploma Holders Siku Ya Tarehe 31/07/2016, Lakini Cha Ajabu Leo Wametupiga kalenda Nyengine Kwa Kutangaza Rasmi Kuwa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Hv Wakisema Hv Wanakuwa Na Maana Gani Kwa anaejua Naomba Msaada "Two principal passes in any subjects. If one of the passes is not in Mathematics a Subsidiary or Pass in Mathematics at “O” level...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Hivi chuo cha St Joseph ni kizur kwa MD ?? Na wanatumia hospital gani kufanyiwa practicals?? Na walimu wao ni wazur?? Naomba msaada kwa anayekijua vizur
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kwa anaefahamu ile scholarship ya Algeria kwenye website ya TCU naomba kufaham ile course ya english language unaenda kusoma nini celew unaenda kusoma english kivipi au unaenda kusoma english...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Naomben kwa wenye uelewa wanisaidie kunipa majibu ni ipi course yenye soko La kujiajiri au kuajiriwa pia kati ya hizo NB: zinatolewa Unique Academy Dar Es salaam kwa degree level
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ningependa kupendekeza elimu yetu iwe yenye kuwaruhusu wanafunzi kujisomea wenyewe,kuchunguza topic,kuja na findings na kuweka hitimisho wenyewe..... Sio mfumo wa sasa ,ambao unatu spoon feed...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wadau? Nmeona wengi wakilalamikia vigezo vipya vya TCU kuwa vimewazuia wengi kwenda university. Me nawashauri msikate tamaa hata kidogo! Jambo jema na la msingi kwa sasa ni kwanza tafuta...
3 Reactions
34 Replies
8K Views
Lengo la makala haya, ni mwandishi kujaribu kuunga mkono baadhi ya watanzania ambao wamejaribu kupigia kelele ufundishaji wa falsafa katika mfumo wetu wa elimu. Kwa hiyo ni mapaendekezo ya kutaka...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Vp wana jf Ninaomba yeyote yule mwenye uwezo wa kunipatia maswal ya language one na two advanced level ya necta examination anisaidie au anipe maelekezo nitapataaje?? Please nisaidieni
0 Reactions
5 Replies
1K Views
SERIKALI imetangaza mwongozo mpya kuwa kuanzia sasa masomo ya sayansi ni lazima kusomwa na wanafunzi wote wanaosoma elimu ya sekondari kuanzia kidato cha kwanza hadi cha nne. Kwa mujibu wa Sera ya...
0 Reactions
0 Replies
978 Views
Back
Top Bottom