Nataka kufahamu kuhusu kozi hii EDUCATIONAL TECHNOLOGY.

foreign er

Member
Jul 19, 2016
81
26
Hbr ndugu zangu wana_JF,
Naomba kuifahamu hii kozi ya educational technology inahusiana na nini na ukisoma unaweza kuwa nani na kufanya kazi gani?,
Kwa yeyote anayeifaham naomb jaman please anielekeze kwa sababu nataka kuisoma.
 
Back
Top Bottom