Siku sahihi ya kuanza field

Kibundi wa getto

JF-Expert Member
Sep 28, 2013
455
875
Baada ya serikali kusogeza wiki 2 mbele za kuanza field, ratiba yangu inaonesha jumatatu tarehe 8/8/2016 natakiwa nianze field . Lakini maajabu mpaka sasa hivi nipo nyumbani, sijakata hata tiketi ya kwenda dodoma kwasababu ela hakuna.
Msimamo wangu :Sitaenda field mpaka akaunti isome 620000/=.Over
 
FIELDO= FIELD

Mkuu unasoma chuo gani? Hakika watoto wetu watakuwa na shida sana.
 
Baada ya serikali kusogeza wiki 2 mbele za kuanza field, ratiba yangu inaonesha jumatatu tarehe 8/8/2016 natakiwa nianze field . Lakini maajabu mpaka sasa hivi nipo nyumbani, sijakata hata tiketi ya kwenda dodoma kwasababu ela hakuna.
Msimamo wangu :Sitaenda field mpaka akaunti isome 620000/=.Over
Pesa inaingia mkuu kabla ya tareh 8,na kuna baadhi imeingia jana.. Vuta subira
 
Baada ya serikali kusogeza wiki 2 mbele za kuanza field, ratiba yangu inaonesha jumatatu tarehe 8/8/2016 natakiwa nianze field . Lakini maajabu mpaka sasa hivi nipo nyumbani, sijakata hata tiketi ya kwenda dodoma kwasababu ela hakuna.
Msimamo wangu :Sitaenda field mpaka akaunti isome 620000/=.Over
Kaa nyumbani msaidie mama kukanda unga wa mikate na kusafisha banda la kuku.
 
Ela-hela
Sio jumatatu-Jumatatu
Sio dodoma -Dodoma

Ndalichako, usimpe huyu mtu pesa, arudi darasa la pili ajifunze vizuri mwandiko
 
Teh Teh Teh Teh Teh vijana wa st. Joseph university wasumbufu sanaa asee
 
Mwaka huu kimbembe, bodi ya Mikopo imesema haina pesa na wataingiza pesa nusu nusu.

NAMBA TUNAISOMA TARATBU
 
Kumbe hawana pesa wamemkata jamaa mmoja kazini masikini kumbe hata chuo hakusoma na anasemekana anadaiwa zaidi ya mil 8 basi kawaka mana anamkopo kazini basi kawaka leo mpaka huruma
 
Yaani ni shida, kila siku kalenda kutoka tarh 25.07.2016 mpaka leo, field haielewek
 
Back
Top Bottom