Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Ukijisajili utachagua masomo matano kama ya form six utasoma masomo hayo mwaka mmoja. Ukipata average ya 50% kila somo atajiunga na degree direct baada ya kumaliza mwaka mmoja. Lakini lazima uwe...
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Msaada, Nataka kuomba textile engineering UDSM au niombe engineering ipi ambayo sitasota mtaani baada ya kumaliza chuo?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu naomba msaada kwa anaekijua chuo cha ualimu Sumbawanga details zake kwa ngaz ya chet
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Halafu na Bachelor of Land management ya Ardhi. ipi iko sokoni wana jamvi?
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Habari zenu wakuu tena hongereni kwa kuchaguliwa vikindu teaching college nimeamu kuanzisha hii thread ili tufahamiane na kupeana ushauri.. Karibu..
0 Reactions
5 Replies
12K Views
Jambo Tanzania! Hivi mtu aliyesoma degree ya kwanza (Bachelor of Education Mathematics) yaani haina "in" na "with" anaweza kusoma degree ya pili (Masters of science in Mathematics) bila ya kusoma...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Aisee TCU bora mngeturudisha NACTE tuapply huko. Au kama mnashusha GPA mtuambie kwahilo tutasubiri tuu maana hamna namna nyingine. mpaka leo tarehe nne hamna guide book ya equivalent wala...
5 Reactions
37 Replies
4K Views
Mtihani wa kumaliza elimi ya Msingi yataanza rasmi JUMA TANO - 07.09.2016 na kumalizika ALHAMISI - 08.09.2016. Hivyo neema ya Mungu iwe pamoja nanyi mnapofanya maandalizi ya dakika za mwisho...
1 Reactions
7 Replies
7K Views
Habari ndugu Watanzania! Mimi ni kijana Nina umri Wa miaka 25 nimemalza degree business administration BBA(accounting major) lakn advance nilisoma PCM na katika somo nilipendalo hesabu nilifanya...
2 Reactions
60 Replies
11K Views
nacte unatumia mfumo gan wa kuchagua wanafunzi wa kujiunga na diploma coz unakuta kama sasa HV wameshaanza kuchagua halaf mweny div 2 anaachwa lkn mwny div3 anachukuliwa na ukiangalia wanasema...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Samahani Wana jf naomba mnisaidie ktu kimoja. Mimi nimemaliza foundation course mwez wa sita open university mwaka huu. Je TCU watanikubalia kuchukua degree?
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari zenu humu ndani naombeni kuuliza nikiingia kwenye website ya TCU nikitaka kuuapply for degree inadai the system is closed and will be opened on 31st July 2016. Sasa cha kushangaza mpaka...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Nawasalimu wanajamvi, Naomba mwenye ufahamu wapi naweza kupata database ya shule (msingi na secondary) zote Tanzania anijuze. Nashukuru.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Hello Guys! Here is Study abroad Opportunity: The Gates Cambridge Scholarship programme was established in October 2000 by a donation of US$210m from the Bill and Melinda Gates Foundation to the...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu nko na rafika yangu amefanya application NACTE jumamosi. Yani sasa hvi amenipigia simu kanambia kua alijaza CERTIFICATES badala ya DIPLOMA na deadline ya kuapply ni leo usiku... Tusaidiane...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Ana vyeti 2 vya form iv, manake alirudia bahadhi ya masomo ili kupata credits. Kwa sasa akitaka kulipia ile 50000 ya tcu anatumia namba ipi tafadhali. Napiga simu sana tcu ila iko bize saaana.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
NACTE wamebabaisha kweli kwa sababu wameshindwa kuweka hata takwimu ya walioapply idadi yao na walioachwa idadi yao na waliochaguliwa pia wametumia sifa gani kuwachagua. Hii nchi imepoteza...
4 Reactions
52 Replies
7K Views
Naomba kujua wenzangu waliopangiwa Chuo cha kcmc koz ya community health,Chuo kinafunguliwa tarehe ngapi ,nitawezaje kupata form ya Chuo nisaidien waungwana
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Nilikuwa nataka kukijua vizuri hiki chuo cha Institute of Tax Management ndugu zangu Ni moja ya chuo nilichoomba tcu Course hii Barcheol degree in customs and tax management Na je ni course...
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Back
Top Bottom