Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Kama unaweza andika , edit proposal kwa level ya post graduate au graduate njoo PM .. Guidelines na kila kitu utapewa ..
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimeona tangazo la NACTE la leo tarehe 29 July linalowaomba walioomba vyuo vya ualimu vya serikali wasifute machaguo yao wasubiri utaratibu utakaotolewa hapo baadaye. Wengine tayari wameshafuta na...
2 Reactions
43 Replies
6K Views
Naomba msaada kwa anaefahamu anieleze jinsi ya kuitambua course nlioomba tcu ( degree) niangalie wap nijue idad ya waombaj wa course hiyo mana naona pana priority 1 priority 2 to priority 5 kisha...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Website ya TCU haipatikani toka jana, nifuwate taratibu gani kuapply. CAS. www.cas.tcu.go.tz
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Naomba msaada kitabu kizuri cha head and neck anatomy ni kipi?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kumekuwa na wimbi kubwa la kuporomoka kwa maadili ya watoto walioko mashuleni, kiasi kwamba sasa si jambo la ajabu kusikia mtoto wa kike ana ujauzito au mtoto wa kiume ana mpenzi. Hali hii...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nawasalimu ndugu zangu.kumekua na matamko mbalimbali juu ya swala la ajira hatimaye raisi akafunga milango mwezi na nusu umeisha ivo..." Haitazidi miezi miwili" lakini mara issue ya vyeti feki...
1 Reactions
24 Replies
5K Views
NACTE WABABAISHAJI NA VYUO WALIOCHAGULIWA WATU HASA VYA SERIKALI NI MAJIPU MFANO.VYUO VYOTE VYA LITI,AFYA ,UALIMU NK KUNA MDOGO WANGU AMECHAGULIWA CHUO CHA MIFUGO LITI MOROGORO MPAKA SASA HIVI...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Kama kichwa cha habari kinavosomeka kuna course zile za non priority baadhi ya course wameandika non priority lakini possible loan amount wameeka kiasi lakini nyingine kwenye possible loan amount...
0 Reactions
0 Replies
983 Views
Mambo....Hello..Hi Is an Advanced Diploma the same as a Bachelor's degree in Tanzania? What are the similarities/differences in exit options? Anything else one should think about if one doesn't...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Wakuu , comment kozi yoyote ya engineering unayoikubali sana. Mimi ni Civil Engineering. Nawasilisha
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Nini kitatokea mwanafunzi mwenye point chini inayotakiwa na bodi akaomba chuo kupitia TCU????
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu habari zenu, tafadhali kwa anayejua chuo cha kilimo Igurusi Mbeya amjuze mdogo wetu amechaguliwa huko. Vipi kuna neema au chenga wakuu wanaokijua?
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Watu wengi wanawalaumu nacte kuwa mbona safari hii hawaeleweki juu ya nafasi za vyuo vya serikali, ni kwamba kumbuka vyuo vya serikali vimejaa vyote, na hii inatokana na kiwa wanafunzi wa dodoma...
0 Reactions
0 Replies
644 Views
Wakuu naombeni msaada wenu, nimemaliza kufanya selection kwa maana nimeshajaza vyuo 5 as maximum sasa nataka kujua kama ukimaliza kuna kuconfirm au kusubmit au ukimaliza unaacha vile...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau kichwa kinaniuma kuhusu DIPLOMA holders NACTE PAGE yao ipo kimya kuhusu dipl kwenda degree,TCU wapo kimya Walitoa ukurasa kuwa 31 Aug 2016 Tcu Cas itakua imefunguka ila mpaka sasa hata...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Naomba kujua zaidi kuhusiana na course tajwa hapo juu ngazi ya diploma ajira zake na umuhimu katika hiyo taaruma na kingine hivi hii course ina mda gani.
1 Reactions
49 Replies
8K Views
Elimu ya Tanzania imekuwa chungu kweli ukizingatia zimebak siku chache na wanafunzi wa diploma kwenda vyuo vikuu ni kama vile wametelekezwa au ndo hamna thamani. Pili vijana waliopata div 3 ni...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Jamani kama bado una shida na NACTE haujaapply hadi sasa hivi natoa msaada wa bure kabisa. Kama una shida yoyote niulize ili ukamilishe usajili wako. Na vyuo navyo competition ni kubwa sana hasa...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Back
Top Bottom